Viongozi wa vyama vya wafanyakazi waonywa kuwatetea wanachama wanaovunja maadili
Dodoma. Baadhi ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi wameonywa kuacha kuwatetea wanachama wanaokiuka maadili ya kazi, kwa kuwa tabia hiyo inatajwa kuchochea utovu wa nidhamu katika utumishi wa umma. Onyo hilo limetolewa leo Machi 14, 2026 na mwakilishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Mwantumu Mussa, wakati akizungumza na viongozi na wajumbe wa…