Ada Tadea yaahidi ajira, kugawa mitungi ya gesi bure kwa wananchi
Tanga. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Ada Tadea, Georges Busungu, amesema wananchi wakimchagua atasaidia kupatikana kwa ajira, pamoja na kuboresha mazingira ya bandari na miundombinu kama barabara. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo Ijumaa, Septemba 19, 2025, katika viwanja vya Tangamano, mkoani Tanga, amesema kwa mkoa huo endapo…