Admin

Saliboko aanza mbwembwe Ligi Kuu Bara

DARUWESH Saliboko wa KMC amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu kufunga bao katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2025-2026 alipoiwezesha timu hiyo kuibuka washindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ameanza mbwembwe mapemaa. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Polisi Tanzania na Lipuli, alisema ushindi iliyopata KMC ikiwa nyumbani ulikuwa ni mpango wa timu na…

Read More

Gwiji Simba ampa ujanja Yakoub Suleiman

ENDAPO kama kipa wa Simba, Yakoub Suleiman atazingatia ushauri wa mkongwe katika nafasi hiyo, kocha Idd Pazi ‘Father’ basi huenda akairejesha Tanzania One baada ya Aishi Manula kusajiliwa Azam FC. Pazi aliwahi kuwa kipa Tanzania One enzi akiwa Simba alisema, kipa huyo mpya wa Simba aliyetua kutoka JKT Tanzania anatakiwa kuzingatia mazoezi ya timu na …

Read More

JITOKEZENI KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA – NIDA

 ::::::::; Na Mwandishi Wetu,  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi hususan kutoka makundi yenye mahitaji maalumu kujitokeza kwa wingi kujisajili ili kupata Vitambulisho vya Taifa, hatua ambayo itarahisisha upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii ikiwamo afya, elimu na huduma za kifedha. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho kutoka NIDA,…

Read More

Uzembe barabarani ajali zaua 25 ndani ya wiki

Dodoma. Janga la ajali limezidi kuwa tishio nchini baada ya watu 25 kupoteza maisha katika matukio tofauti ndani ya wiki moja, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baadhi yao wakiwa mahututi. Ajali hizo zilitokea kwa nyakati tofauti katika mikoa tofauti, zikiwemo Pwani ambako watu watano wa familia moja walipoteza maisha juzi, Mwanza (watano), Mara (sita), na Dodoma…

Read More

Tunachoweza kujifunza kutoka Maonesho ya Kimataifa ya Biashara

Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya China, maarufu kama Canton Fair, yamepata umaarufu mkubwa duniani. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1957, upangaji, uratibu na usimamizi wake vimeyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa wafanyabiashara, maonesho hayo kwa sasa ni kitovu cha biashara kwa maelfu ya wafanyabiashara kutoka nchi 150 duniani wanaofika kununua na kuuza bidhaa. Katika sifa kubwa…

Read More