TUME YA TAIFA YA MIPANGO YAANZA MIKAKATI UKELEZAJI DIRA YA TAIFA 2050
Na Seif Mangwangi, Arusha. TUME ya Taifa ya Mipango imeanza mikakati ya utekelezaji wa mpango wa nne wa Taifa wa miaka mitano kwa kukutanisha wataalam wa utafiti, ubunifu na tathmini kutoka taasisi za kimkakati zaidi ya 100 za Serikali, asasi binafsi za maendeleo za ndani na nje ya nchi na vyuo vikuu. Akizungumza wakati wa…