Chaumma yaahidi boti za mwendokasi Kanda ya Ziwa
Kagera. Mgombea urais wa Chaumma, Salum Mwalimu ameahidi mageuzi ya kiuchumi katika Kanda ya Ziwa ikiwa ni pamoja na uwekezaji wa maboti ya kisasa ya mwendokasi kasi ya Mwanza na Kagera, endapo atachaguliwa kuwa rais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza Septemba 18, 2025, katika mkutano wa kampeni uwanja wa Red Cross, Muleba, Mwalimu amesema serikali…