AG Johari: Wanasheria endelea kujifunza bila kikomo
Kibaha. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema taifa linahitaji wanasheria wenye moyo wa kujifunza daima, akibainisha kuwa elimu haiishii chuoni bali ni safari endelevu ya kukuza weledi na uwezo wa kutatua changamoto mbalimbali. Johari ametoa kauli hiyo leo, Alhamisi Septemba 18, 2025, wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wanasheria wa Serikali kutoka Ofisi…