
Mwenza wako ana haki kukuchunguza
Canada. Tufuatane katika kisa cha kufikirisha na kusisimua hata kuogopesha japo kinafundisha kitokanacho na upendo wa kweli. Kawaida, wanandoa, hulala pamoja. Hili haliepukiki wala kujadilika katika maisha ya ndoa. Siku moja, baba alikosa usingizi lakini akakaa kimya kuchelea kumuamsha mwenzie. Alistuka. Akiwa hana hili wala hili, mkewe aligutuka usingizini. Alianza kumnusa vidole. …