Admin

Sh3 milioni zamweka matatani Mtendaji wa kijiji Simanjiro

Simanjiro. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Godbles Mollel amefikishwa mahakamani kwa kosa la rushwa kwa kutumia Sh3.3 milioni isivyo halali. Mollel amesomewa shitaka hilo la uhujumu uchumi leo Septemba 17, 2025 mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Onesimo Nicodemo. Mwendesha mashtaka wa…

Read More

Nyuki wa Tabora wamepania kung’ata zaidi msimu huu

TAYARI Tabora United inafahamu ladha tamu na chungu za Ligi Kuu Bara kutokana na kushiriki michuano hiyo kwa misimu miwili na sasa inakwenda wa tatu. Katika msimu wa kwanza 2023-24, timu hiyo iliponea chupuchupu kushuka daraja baada ya kushinda michezo ya mtoano kufuatia kumaliza katika nafasi ya 14 kati ya timu 16, hilo likawafanya viongozi…

Read More

Madereva mkao wa kula mbio za Magari Afrika, Kabudi mgeni rasmi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamaganda Kabudi ndiye atazindua Mbio za Magari za Ubingwa wa Afrika 2025 ‘Mkwawa Rally of Tanzania’ keshokutwa Ijumaa, Septemba 19, 2025 mkoani Morogoro. Ofisa Habari wa Mashindano ya Magari Tanzania, Michael Maluwe amesema kuwa maandalizi yote muhimu kwa tukio hilo la uzinduzi yameshakamilika. “Madereva wameanza kuwasili Morogoro kwa…

Read More

Polisi, Uhamiaji kufungua dimba Ligi Kuu Zanzibar

TIMU za Polisi na Uhamiaji, zitafungua dimba la Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026 baada ya ratiba kutangazwa rasmi. Ratiba hiyo iliyotangazwa na Bodi ya Ligi Zanzibar, inaonesha mechi zitaanza kuchezwa Septemba 20, mwaka huu ambapo Polisi itakuwa mwenyeji wa Uhamiaji kwenye Uwanja wa Uwanja Mao A uliopo Unguja, saa 10:15 jioni. Katika ratiba hiyo,…

Read More

Vyama 19 vyaikumbusha Takukuru wajibu wake

Kigoma. Wagombea ubunge wa majimbo ya Kigoma Mjini na Kigoma Kaskazini wameiomba Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Kigoma, kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi kwa kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Wagombea hao wametoa kauli hiyo leo, Jumatano Septemba 17, 2025, mjini Kigoma,  baada ya kushiriki mafunzo yaliyotolewa na Takukuru kuhusu…

Read More