Admin

Fadlu anadaiwa makombe Simba | Mwanaspoti

“SIMBA msimu uliopita tulitengeneza msingi lakini msimu huu ni wa kushinda makombe, dirisha la usajili limeshafungwa, nawaamini sana wachezaji wangu wote na nimefurahishwa na kikosi changu. Kama kocha nitapambana na kikosi hiki kutengeneza timu yenye ushindani msimu huu.” Hayo ni maneno ya Kocha Mkuu wa Simba, Fadluraghman “Fadlu” Davids aliyoyasema mbele ya waandishi wa habari,…

Read More

Kongamano la Uchumi Jumuishi kuwakutanisha wadau Mbeya

KIGODA Cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za Umajumui wa Afrika (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP Centre), limeandaa kongamano kubwa la kujadili Uchumi Jumuishi kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Kongamano hilo litafanyika Septemba 18,…

Read More

Je Nani Kukupatia Maokoto Siku ya Leo?

MECHI za UEFA leo hii zinaendelea baada ya jana kushuhudia mitanange kibao ya kukata na shoka. Nafasi ya kuondoka na pesa unayo ndani ya Meridianbet, ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Mapema kabisa Olympiacos atakuwa mwenyeji wa Pafos FC ambao hawapewi nafasi ya kushinda mtanange huu wa leo wakiwa na ODDS 7.80 kwa 1.46….

Read More

Prisons ya kishua, ramani ya Ligi Kuu iko hivi

WAKATI wadau na mashabiki wa soka nchini wakisubiri kwa hamu kuanza kwa msimu wa Ligi Kuu 2025/26, Tanzania Prisons imesema inakuja tofauti kupambania nafasi Top 4, huku ikiahidi ‘kibunda’ kwa mastaa wake. Ligi Kuu Bara imeanza jana Septemba 17, ambapo Wajelajela hao watashuka uwanjani siku hiyo wakianzia ugenini dhidi ya Coastal Union, mchezo ukipigwa kwenye…

Read More

Meridianbet kukupa Burudani Ya Kipekee Kupitia Meridian Bonanza

MERIDIANBET imeleta mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa michezo ya kubashiri kupitia utambulisho wa Meridian Bonanza. Hii ni burudani mpya kabisa ndani ya kasino mtandaoni iliyoundwa kwa kutumia teknolojia na ubunifu wa hali ya juu. Meridian Bonanza inawafanya washiriki wajihisi kuwepo kwenye eneo la kasino halisi ilhali wanatumia simu au kompyuta kucheza. Upekee wa mchezo huu…

Read More

Namungo inavyoanza msimu mpya 2025/26 na malengo makubwa

WAUAJI wa Kusini, Namungo walikuwa na kambi ya wiki mbili jijini Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu, ambapo Mwanaspoti lilitinga kujionea namna nyota wa kikosi hicho wanavyojifua. Lakini, unaambiwa kazi haikuishia mazoezini tu, bali kuna mipango na mikakati mizito inasukwa kwa ajili ya kujenga upya ubora katika kupambania nembo ya…

Read More

Auawa kisa ushabiki wa dabi ya Simba, Yanga Songwe

Songwe. Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamtafuta Evacery Mwaweza mkazi wa Kitongoji cha Ululu kiijiji cha Idiwili kata ya Idiwili wilayani Mbozi mkoani Songwe kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Zabroni Mwambogolo (28) mkazi wa kitongoji hicho wakati wakiangalia mpira wa Simba na Yanga. Akizungumzia tukio hilo leo Jumatano Septemba 17,2025 Kamanda wa Polisi Mkoa…

Read More

Sura mpya Fountain Gate ikipambana upya Bara

MSIMU uliopita ilibaki kidogo Fountain Gate ishuke daraja, lakini ikanusurika baada ya kuichapa Stand United katika mechi za mtoano. Timu hiyo ilimaliza ligi katika nafasi ya 14, ikacheza mtoano wa kwanza dhidi ya Tanzania Prisons iliyomaliza ya 13, ikapoteza kwa jumla ya mabao 4-2 kwani nyumbani ilitoka 1-1, ugenini ikafungwa 3-1. Ilipoenda kukabiliana na Stand…

Read More