Admin

Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Afariki Dunia – Global Publishers

Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu (Vatican) katika nchi mbalimbali duniani, Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu (Vatican) katika nchi mbalimbali duniani, Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma, Italia. Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 8, 1957 mkoani Kagera. Aliwekwa…

Read More

Misafara ya bodaboda kwenye mikutano ya kampeni yazua mjadala

Dar es Salaam. Wiki ya tatu ya kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025 inapoyoyoma, taswira mpya imeendelea kujibainisha mitaani, vijana waendesha bodaboda wamegeuka kuwa injini ya hamasa na kivutio kikuu cha misafara ya kisiasa. Makundi haya yamekuwa yakionekana kwa wingi barabarani, pikipiki zao zikipambwa kwa bendera na mabango ya wagombea wakisindikiza misafara na mikutano kwa vuvuzela,…

Read More

Masista wanne waliofariki ajalini Mwanza kuzikwa Dar

Mwanza. Masista wanne waliopoteza maisha katika ajali ya gari jijini Mwanza wanatarajiwa kuzikwa Septemba 19, 2025, Boko, jijini Dar es Salaam, huku dereva wao akizikwa Nyegezi, Mwanza. Masista hao ambao ni Lilian Kapongo, aliyekuwa Mkuu wa Shirika la Masista Wakarmeli Wamisionari wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Duniani na aliyekuwa Mshauri Mkuu na Katibu Mkuu…

Read More

Pakistan hurejea kutoka mafuriko wakati mamilioni ya kuacha makazi – maswala ya ulimwengu

Zaidi ya watu milioni sita wameathiriwa tangu mvua zisizo za kawaida zisizo za kawaida zilianza mwishoni mwa Juni, na karibu maisha 1,000 yalipotea – 250 kati yao watoto. Karibu watu milioni 2.5 wamehamishwa, makazi mengi katika kambi zinazoendeshwa na serikali au na familia za mwenyeji ambao tayari wamewekwa kwenye kikomo chao. “Kutoka kwa shamba, tunaona…

Read More

Wataalamu wachambua utata bao la Pacome

BAO pekee lililofungwa na Pacome Zouzoua katika mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, limezua mjadala mzito. Katika mjadala huo, upande mmoja unasema kulikuwa na mazingira ya mfungaji kuwa eneo la kuotea ambaye pia alicheza faulo kwa kumzuia beki wa Simba, Rushine De…

Read More

Hali ilivyo maandalizi ya mazishi ya miili mitano ya familia moja iliyofariki ajalini Pwani

Tanga. Maandalizi ya mazishi ya miili mitano ya watu wa familia moja waliofariki dunia kwenye ajali ya gari Septemba 13, mkoani Pwani yanaendelea mkoani Tanga, ambapo ibada itafanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), lililopo Donge. Akizungumza na Mwananchi kwenye eneo la msiba uliopo maeneo ya Magaoni jijini Tanga leo Jumatano Septemba 17,2025…

Read More

Bajana aipa ujanja Azam FC

KIUNGO wa zamani Azam FC, Sospeter Bajana ameipa ujanja timu hiyo akisema kwa kikosi ilichonacho kama itazingatia mambo makubwa mawili kutoka kwa kocha Florent Ibenge, basi itafanya maajabu msimu huu. Bajana aliyeitumikia timu hiyo mfululizo kwa miaka 15, alisitishiwa mkataba wa mwaka mmoja uliosalia Azam wiki chache zilizopita na msimu unaoanza 2025/26 ataichezea JKT Tanzania….

Read More