Vinara Ligi Daraja la Kwanza Unguja raha tu
VINARA wa Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja, Black Sailors, wamesema msimamo umekuwa hamasa nzuri ya kuanza mazoezi kwa ari zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Kocha Msaidizi, Said Mwinyi akisema amefurahishwa na namna wachezaji walivyoanza mazoezi kwa ari kubwa. Black Sailor inaongoza ligi hiyo kwa pointi 53 ilizovuna katika mechi 20 na kubakisha mechi…