Ligi Kuu 2025/26: Mechi hizi sio za kuzikosa
MSIMU mpya wa 2025-2026 wa Ligi Kuu Bara unaanza leo Jumatano Septemba 17, 2025, huku ukitazamiwa kuongezeka kwa ushindani kutokana na timu 16 shiriki kusajili wachezaji bora wenye uzoefu katika vikosi hivyo. Wakati ratiba hiyo ikitoka kuashiria kwa msimu wa 2025-2026, Mwanaspoti linakuletea baadhi ya mechi kali na za kusisimua ambazo kama shabiki au mdau…