KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 ,MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI AVIFUNDA VYAMA VYA SIASA HANDENI
Na; Mwandishi Wetu – Handeni Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imevitaka vyama vyote vya siasa katika Wilaya ya Handeni kuhakikisha vinazingatia kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, uwazi na kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika kikao kazi na wawakilishi…