Tumaini elimu ya ufundi stadi kuunganishwa na miradi ya kimkakati
Dar es Salaam. Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan akieleza mpango wa Serikali kuongeza programu maalumu za mafunzo ya ufundi stadi kupitia vyuo vya ufundi na kuziunganisha moja kwa moja na miradi mikakati ya taifa, imeibua mjadala mpana miongoni mwa wadau wa elimu, wataalamu wa masoko ya ajira, na vijana wenyewe. Kauli hiyo aliyoitoa katika…