Admin

Lissu akwama hatua ya kwanza pingamizi kesi ya uhaini

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amekwama katika hatua ya kwanza ya kujinasua katika kesi ya uhaini inayomkabili, baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kutupilia mbali sababu yake moja ya pingamizi lake. Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini, kinyume na kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria…

Read More

Fadlu aahidi kulipa kisasi kwa Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema katika mechi ya kesho dhidi ya Yanga, hawana presha kwa sababu tayari wana uzoefu na dabi, huku akiamiani benchi la wapinzani wake litakuwa na kazi za ziada kutokana na ugeni wao. Hiyo ni katika kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii uliopangwa kuchezwa kesho Jumanne kwenye Uwanja wa Benjamin…

Read More

Arajiga kuamua Dabi ya Kariakoo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemtangaza mwamuzi Ahmed Arajiga, kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii utakaozikutanisha Yanga dhidi ya Simba. Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo, amesema Arajiga atakuwa mwamuzi wa kati katika mchezo huo utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ndimbo amesema Arajiga atasaidiwa…

Read More

Folz aringia ubora wa mastaa Yanga, aficha jambo hili

KOCHA wa Yanga, Romain Folz, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Simba huku akiringia ubora wa mastaa wa timu hiyo. Folz amesema, timu hiyo imefanya maandalizi ya kutosha kuelekea mchezo huo, huku akikiri kwamba wanakwenda kukutana na timu nzuri yenye wachezaji bora. Kocha huyo ambaye anayekwenda kucheza dabi ya kwanza…

Read More

UMOJA WA VIWANDA VYA ALIZETI WAPATIWA ELIMU YA VIPIMO

Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Dodoma imewahakikishia wafanyabiashara wa Mji wa Kibaigwa Wilayani Kongwa kuwa itaendelea kusimamia usahihi wa vipimo vinavyotumika kufanyia biashara katika eneo hilo kwa lengo la kuhakikisha kunakuwa na biashara ya usawa na haki baina ya mnunuzi na muuzaji. Vilevile WMA Dodoma imetoa wito kwa wafanyabiashara hao kwa upande wao kuzingatia…

Read More