Simba, Yanga zajitega Kwa Mkapa
MASHABIKI wa soka hususan wale wa Simba na Yanga kwa sasa wanahesabu saa tu kabla ya kuzishuhudia timu hizo zikishuka Uwanja wa Benjamin Mkapa, kuvaana katika mechi ya Ngao ya Jamii kuzindua msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-2026. Zimesalia saa 24 tu…