Vodacom Tanzania yazindua Dira ya 2030, yawekeza zaidi ya dola 100 milioni uboreshaji miundombinu ya teknolojia kwa uchumi jumuishi wa kidijitali
Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano, Vodacom Tanzania inapoadhimisha miaka 25 ya huduma hapa nchini imeweka msingi wa kizazi kijacho kwa kutangaza mpango wa kisasa wa teknolojia wenye thamani ya zaidi ya dola 100m ikiwa ni moja ya uwekezaji mkubwa zaidi wa miundombinu katika historia yake. Mpango huu wa kihistoria unalenga kubadilisha hali ya mtandao nchini…