Mkoma kupigania bei nzuri ya mbaazi, huduma bora kwa wananchi
Babati. Mgombea udiwani wa kata ya Magara, wilayani Babati Mkoa wa Manyara, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Gonzalez Mkoma, amewaomba wakazi wa eneo hilo kumpa kura nyingi za ndiyo ili apambane na changamoto zinazowakabili. Baadhi ya changamoto zinazowakabili wakazi wa kata hiyo ni ukosefu wa kituo cha afya, ukosefu wa nishati ya umeme katika baadhi…