MJNUAT kutoa wahitimu wa kwanza mwakani
Butiama. Baada ya kusuasua kwa muda mrefu kuanza kutoa masomo, hatimaye Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT), kilichopo wilayani Butiama Mkoa wa Mara, kinatarajia kuwa na mahafali ya kwanza mwakani. Chuo hicho kilikaa miaka saba bila kuanza kutoa mafunzo kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo ukosefu wa rasilimali fedha. Akizungumza kwenye…