Opah tumaini jipya Hispania | Mwanaspoti
SD Eibar ya Ligi ya Wanawake Hispania imeboresha eneo la ushambuliaji kwa ajili ya msimu huu ikimsajili nyota wa Kitanzania, Opah Clement ambaye ana rekodi nzuri Ulaya. Opah kabla ya kujiunga na timu hiyo msimu uliopita aliichezea FC Juarez ya Mexico lakini hakuwa na msimu mzuri alicheza mechi sita bila kufunga bao wala asisti. Lakini…