Mazingira kujua mpenzi wako sio mwaminifu
Dar es Salaam. Kila mmoja atakubaliana na mimi kwamba uhusiano baina ya wapendanao ulikusudiwa kuwa wa upendo, maelewano, kuaminiana, na urafiki wa hali ya juu. Kwa bahati mbaya hali halisi siyo hiyo katika uhusiano wa watu wengi. Wengi wetu tumeumizwa kwa mpenzi mmoja au mara nyingine wote kutokuwa waaminifu katika uhusiano. Kutokuwa mwaminifu hapa namaanisha…