Admin

Bashiri na Meridianbet Leo Uibuke Bingwa

JE unajua kuwa siku ya leo unaweza ukabashiri na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet na ukaibuka na kitita cha mkwanja?. Mechi kibao kuchezwa siku ya leo hivyo tengeneza jamvi lako la uhakika hapa. EPL kule Uingereza itaendelea kwa mtanange mmoja wa kukata na shoka kati ya Leeds United vs West Ham United huku mara yao…

Read More

PANTEV | Mwanaspoti

MASHABIKI wa Simba tabasamu limeanza kurudi kwenye nyuso zao kutokana na mwenendo wa kikosi hicho katika mashindano mbalimbali. Wakati hayo yakiendelea kocha wao wa zamani amewatumia salamu akisema meneja mpya, Dimitar Pantev ana kitu cha maana anachokiwekeza kikosini hivyo waishi naye vizuri. Unaweza kusema Pantev ameshusha presha Simba baada ya kuiongoza kushinda kibabe ugenini kwa…

Read More

Mgombea ADC aahidi kufunga satelaiti akichaguliwa rais

Mwanza. Mgombea urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias, amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitasimika satelaiti angani kwa ajili ya kudhibiti uhalifu unaofanyika katika maziwa ya Victoria na Tanganyika, pamoja na kulinda mipaka ya nchi kwa ujumla. Ahadi hiyo ameitoa Oktoba 23, 2025 alipofanya mikutano ya hadhara…

Read More

Kocha Mbeya City ajilipua, ataja panapovuja

BAADA ya kupoteza dhidi ya Tanzania Prisons, Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsin amesema ameshajua shida iliko na amejipanga kuiondoa mapema tu. Mbeya City ambayo Juzi ilichezea KMC Complex kama uwanja wake wa nyumbani, hadi sasa imecheza mechi tano, ikishika nafasi ya kwanza kwenye msimamo na ndiyo timu iliyocheza mechi nyingi zaidi. Akizungumza na Mwanaspoti,…

Read More

Kocha Mtibwa Sugar aiwaza Yanga mapema

BAADA kutoka suluhu dhidi ya Dodoma Jiji, Kocha mkuu wa Mtibwa, Awadh Juma amesema wakati wanajipanga kwenda kukutana na Yanga, anataka kuhakikisha muda uliosalia wanatafuta suluhusho la kupata mabao. Mtibwa inashika nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi, ikiwa na pointi tano baada ya kucheza michezo minne hadi sasa. Akizungumza na Mwanaspoti, Awadh amesema licha…

Read More

Heche Yupo Kituo Cha Polisi Dodoma – Global Publishers

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema ufuatiliaji wao umewezesha kugundua kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche yupo kwenye Kituo cha Polisi Dodoma. Mnyika amezitaka mamlaka zinazohusika, likiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Uhamiaji, kutoa taarifa rasmi kwa umma kueleza mahali alipo na hali…

Read More

Mwalimu ampa tano Shibuda jimboni kwake

Maswa. Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu amewasili katika Jimbo la Maswa Magharibi analogombea John Shibuda, mbunge wa zamani wa CCM na Chadema na kueleza kwa nini anapaswa kuchaguliwa tena kuwa mbunge. Mwalimu ameyasema hayo leo Ijumaa, Oktoba 24,2025, katika mkutano wake wa kampeni  zake za lala salama alioufanya katika…

Read More

Mawakala wa vyama wakwama kuapa muda ukiyoyoma

Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku tano kabla ya Watanzania kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025, baadhi vyama vya siasa vimekuwa na malalamiko juu ya uapishaji wa mawakala, hatua inayosababisha kukosa watu wa kusimamia kura zao kwenye vituo mbalimbali. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,  Jaji Jacobs Mwambegele amesema hawezi kutolea taarifa madai hayo…

Read More

Kihimbwa akubali mambo magumu Ligi Kuu

WINGA wa Mashujaa FC, Salum Kihimbwa amesema msimu huu ni dume, lakini anataka kuendeleza ubora wake wa msimu uliopita na kufunga mabao zaidi. Msimu uliopita Kihimbwa akiwa na Fountain Gate alimaliza na mabao manne na asisti tano, lakini ndoto yake msimu huu ni kuhakikisha anafunga 10 na asisti 10 ingawa bado hajafungua akaunti ya mabao….

Read More