Hati ya Uwanja Yanga yakabidhiwa Lupaso, GSM aachiwa msala
KLABU ya Yanga imekabidhiwa rasmi hati ya ongezeko la kiwanja cha Jangwani, kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo, huku viongozi wa timu hiyo wakimtangaza GSM kuwa mwekezaji wa uwanja huo. Waziri wa Ardhi Deogratias Ndejembi, ndiye aliyefichua hayo alipotangaza katika Kilele cha Wiki ya Mwananchi iliyofanyika leo Kwa Mkapa ambapo amesema sasa…