DK.SAMIA KUING’ARISHA BUHIGWE KWA UMEME WA UHAKIKA, KUIONGEZEA THAMANI TANGAWIZI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Kigoma MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk Samia Suluhu Hassan amesema ni ya Serikali ni kuifanya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma ing’are kwa umeme na uwe wa kutosha ili kuifanya Buhigwe iwe na uwekezaji wa viwanda. Akizungumza na maelfu ya wananchi wa Buhigwe akiwa katika muendelezo…