Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,648
Habari

MABALOZI WA NCHI ZA JUMUIA YA ULAYA WAITEMBELEA SUA.

May 1, 2024 Admin

Mabalozi wa nchi za umoja wa Ulaya wamaitembelea Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo SUA, Kampasi ya Edward Moringe, ili kujionea miradi mbalimbali inayoendelea Chuoni

Read More
Michezo

Simba, Azam vitani tena kunasa saini ya kiungo fundi

May 1, 2024 Admin

JINA la kiungo Najimu Musa lipo mezani kwa timu za Simba, Azam na KMC huku kila timu ikihitaji saini ya mchezaji huyo kwa msimu ujao.

Read More
Habari

Wakulima 15,000 kunufaika na huduma za ugani kidijitali

May 1, 2024 Admin

Dodoma. Jumla ya wakulima 15,000 katika mikoa ya Dodoma na Singida watanufaika na mfumo wa huduma za ugani kidijitali kwa ajili ya kuongeza tija kwenye

Read More
Habari

UNAPOCHEZA KASINO YA ZOMBIE APOCALYPSE HAKIKISHA UNAZINGATIA YAFUATAYO

May 1, 2024 Admin

*Sloti ya Zombie Apocalypse WENGI wetu hupenda filamu za Mazombie huwa zinatisha kidogo lakini huwa zinakuwa na hisia Fulani hivi ya msisimko, iko hivyo unapokuwa

Read More
Michezo

Chama afungiwa michezo mitatu, Simba, Yanga zapigwa faini

May 1, 2024 Admin

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi beki wa Yanga, Nickson Kibabage

Read More
Habari

Uingereza yathibitisha kuwazuia wahamiaji – DW – 01.05.2024

May 1, 2024 Admin

Haya yanajiri huku mmoja akiripotiwa kujipeleka kwa hiari Rwanda kutoka Uingereza.  Kamata kamata ya wahamiaji inajiri wiki moja baada ya wabunge kumaliza mvutano uliokuwepo bungeni

Read More
Habari

Bibi adaiwa kumfanyia ukatili mjukuu wake wa miaka minane

May 1, 2024 Admin

Moshi. Mtoto wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Himo, Glory Felician (8) ameokolewa na wanaharakati kufuatia vitendo vya ukatili anavyofanyiwa na bibi yake

Read More
Habari

TBC WATATOA FURSA SAWA KWENYE UCHAGUZI-TCRA

May 1, 2024 Admin

Na Derek MURUSURI, Dodoma SHIRIKA la Utangazaji Tanzania litaendelea kutoa fursa sawa kutangaza kampeni za vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi wa mwaka huu na mwaka 2025.

Read More
Michezo

Pacome arudi kikosini Yanga ikiivaa Tabora United

May 1, 2024 Admin

HATIMAYE kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua Leo anarudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuumia na kuzusha taharuki kubwa. Kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza mchezo

Read More
Habari

Wafanyakazi kuongezewa mishahara kwa asilimia sita Kenya – DW – 01.05.2024

May 1, 2024 Admin

Rais William Ruto alipanda jukwaani na kutangaza nyongeza isiyopungua asilimia ya kima cha chini cha mshahara. Kwenye hotuba yake, rais William Ruto alibainisha kuwa nyongeza hiyo

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,647 3,648 3,649 … 3,751 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.