Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 29,2024 About the author
Author: Admin

Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la Taasisi zinazoshirikiana na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi

Dar es Salaam. Kutokana na mabadiliko ya kidijitali yanayoendelea katika sekta mbalimbali, Benki ya NCBA Tanzania imezindua programu mpya ya kibenki iitwayo ‘NCBA Now’ kwa

Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WF, Nairobi, Kenya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), ameungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika

Bingwa mtetezi wa Kombe la Shirikisho Afrika, USM Alger ya Algeria imegoma kuingiza timu kwenye Uwanja wa Berkane Municipal kwa ajili ya mchezo wa nusu

Kibaha. Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Waliul Asr Education Center wilayani Kibaha, mkoani Pwani, aliyesombwa na maji kwenye

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa

Dar es Salaam. Sehemu ya barabara eneo la Kimanzichana mkoani Pwani, ilomeguka kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, imekarabatiwa. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, alitembelea eneo hilo

BARAZA la Michezo Nchini (BMT) La ahidi kushirikiana bega kwa bega na Shirikisho la Mbio za Magari (AAT) Kuhakikisha wadau wanaunga mkono mchezo huo. Akizungumza

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema uwepo wa Kongamano