Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,650
Habari

RAIS AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI

April 28, 2024 Admin

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Winfrida Beatrice Korosso kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika

Read More
Habari

Wafugaji wataka bima ya mifugo

April 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wafugaji wameomba kuwe na bima ya mifugo iwapo watakufa au kupata ajali, ambayo itafungua fursa zaidi za soko la ajira katika mnyororo

Read More
Habari

Chongolo acharuka, ataka uchunguzi ujenzi wa bweni

April 28, 2024 Admin

Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo,  kufanya uchunguzi wa matumizi

Read More
Habari

Miili miwili ya walioangukiwa na ukuta yazikwa Dar

April 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Miili ya watu wawili kati ya wanne wa familia moja waliofariki dunia kwa kuangukiwa na ukuta wa nyumba waliyokuwa wakiishi imezikwa. Ajali

Read More
Habari

Jiji la Dodoma hatarini kuwa eneo la makazi holela

April 28, 2024 Admin

Dodoma. Tangu Dodoma ilipotangazwa kuwa Jiji Aprili 2018, kumekuwa na kasi kubwa ya ongezeko la idadi ya watu na shughuli za kibinadamu zinazoathiri mifumo ya

Read More
Michezo

Simba yamrejesha Juma Mgunda | Mwanaspoti

April 28, 2024 Admin

Hatimaye Simba imerejesha kocha mzoefu, Juma Mgunda kwenye kikosi hicho muda mchache baada ya Abdelhack Benchikha na wasaidizi wake kutimka. Tetesi zilianza kuzagaa wiki nzima

Read More
Habari

NBC yatunukiwa tuzo ya mwezeshaji bora wa mikopo Afrika

April 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Benki ya NBC imepata tuzo ya mwezeshaji bora wa pamoja wa mikopo ya serikali kuu barani Afrika kwa mwaka 2023 katika Tuzo

Read More
Michezo

Thank You! Simba yamuaga Benchikha, Mgunda apewa timu

April 28, 2024 Admin

KLABU ya Simba imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Mualgeria, Abdelhak Benchikha ikiwa ni siku moja tangu atwae Kombe la Muungano lililohitimishwa

Read More
Habari

Simulizi ya mwanafunzi mchoraji mwenye uoni hafifu

April 28, 2024 Admin

Bukoba. “Nilianza kuchora picha ya chupa ya maji, baadaye nilichora picha ya baba yangu mzazi, kwa sasa nimechora picha ya mbunge wangu, na picha hii

Read More
Habari

UNESCO Tanzania Yataka Vijana Kuchangamkia Ufadhili wa Masomo nje ya Nchi -Kaimu Katibu Mtendaji Fatuma

April 28, 2024 Admin

Kaimu Kaimu Katibu Mtendaji Mkuu wa Tume ya UNESCO Tanzania Fatuma Mrope wa kwanza kutoka kulia akikabidhi cheti Mnufaifaika wa Ufadhili wa Masomo nchini Poland

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,649 3,650 3,651 … 3,724 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.