Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,653
Michezo

Mambo matano yanayomuondoa Benchikha Simba

April 27, 2024 Admin

Usiku wa leo Simba itakuwa uwanjani mjini Unguja kumalizana na Azam kwenye  pambano la fainali ya michuano ya Kombe la Muungano litakalopigwa Uwanja wa New

Read More
Burudani

WAZIRI DKT. NDUMBARO ASISITIZA WABUNIFU KAZI ZA SANAA KUJISAJILI

April 27, 2024 Admin

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewasisitiza wasanii, wandishi wa vitabu na wabunifu kujisajili na kusajili kazi zao katika ofisi ya

Read More
Habari

Watu 6,000 kutibiwa bure magonjwa ya macho

April 27, 2024 Admin

Mtwara. Zaidi ya wananchi 6,000 wanatarajia kupata elimu ya utunzaji wa, vipimo na matibabu ya macho bure kupitia kambi maalumu. Hayo yameelezwa leo Aprili 27,

Read More
Michezo

Rekodi ya Pacome kwa Al Ahly bado inaishi

April 27, 2024 Admin

Kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji pekee katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu kuifunga Al Ahly. Pacome alifunga

Read More
Habari

Wananchi Malinyi walia kukosa huduma za afya

April 27, 2024 Admin

Morogoro. Pamoja na Serikali kutumia usafiri wa anga kutoa misaada ya chakula kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kilombero na Malinyi mkoani hapa, wananchi wa Kata

Read More
Michezo

Tchakei aanza tizi Ihefu | Mwanaspoti

April 27, 2024 Admin

Nyota wa Ihefu, Marouf Tchakei ameanza mazoezi mepesi na timu hiyo baada ya kukosekana kwa takriban wiki tatu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya kifundo

Read More
Habari

Wananchi wasota saa 15 kukatika daraja Tambani, Waziri Ulega aahidi daraja la muda 

April 27, 2024 Admin

Temeke. Mamia ya wananchi wamesota kwa takribani saa 15 kutokana na daraja la Kifaulongo katika Kata ya Tambani mkoani Pwani kukatika na kusababisha adha kwa

Read More
Michezo

Simba yaingia vitani na Azam, Ihefu yampandia dau beki tano

April 27, 2024 Admin

Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili na staa huyo kuwahiwa na Ihefu FC ambayo imetuma ofa Coastal Union ikimtaka Lameck Lawi, Simba imepanda

Read More
Habari

Rais Samia awasamehe wafungwa 1,082

April 27, 2024 Admin

Dar es Salaam. Rais Samia Hassan Suluhu ametoa msamaha kwa  wafungwa 1,082, ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ametoa

Read More
Michezo

Championship mwisho wa ubishi ni kesho

April 27, 2024 Admin

Pazia la Ligi ya Championship msimu huu linafungwa kesho Jumapili huku utamu utakuwa jijini Arusha wakati Pamba itakaposaka nafasi ya kuzika mzimu ulioitesa kwa zaidi

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,652 3,653 3,654 … 3,716 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.