Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,655
Habari

Mtoto aliyeokolewa tumboni mwa mama aliyeuawa Gaza afariki dunia

April 26, 2024 Admin

Israel. Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mama yake aliyekuwa mahututi baada ya shambulizi la anga la Israel kusini mwa Gaza amefariki dunia. Mtoto huyo wa

Read More
Michezo

Yanga, Coastal kuna mtu atalia Chamazi

April 26, 2024 Admin

HESABU za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania kwa Yanga zipo mikononi mwa Coastal Union Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi huku wagosi

Read More
Habari

Mhadhiri Udom ataka Muungano ufundishwe shuleni

April 26, 2024 Admin

Dodoma. Ili kuuenzi vema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuweka somo hilo, litakalofundishwa shuleni kuanzia ngazi za chini katika  pande zote

Read More
Michezo

NIONAVYO: Soka la kununua bila kuuza halina tija

April 26, 2024 Admin

SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) lina sheria na taratibu za kuhakikisha kuna nidhamu ya mapato na matumizi miongoni mwa nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja

Read More
Habari

Wakazi wa Njombe waiomba Tarura kutelekeza ujenzi wa daraja

April 26, 2024 Admin

Njombe. Wakazi wa mitaa ya Igangidung’u na Maguvani Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Njombe, wameiangukia Serikali ikamilishe ujenzi wa daraja lililoanza kujengwa tangu

Read More
Habari

Mazungumzo ya kujadili vita vya Gaza kufanyika Saudi Arabia – DW – 26.04.2024

April 26, 2024 Admin

Wanadiplomasia wakuu wa nchi za  Kiarabu na Ulaya wanatarajiwa kuanza kuwasili katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, mwishoni mwa wiki hii kushiriki mkutano wa

Read More
Habari

Sababu za mafuriko kuivuruga dunia

April 26, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiomboleza vifo vya watu 162 vilivyotokana na janga la mafuriko linalosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, janga hilo ni sehemu

Read More
Michezo

Mastaa Yanga wawaachia msala Azizi KI, Musonda

April 26, 2024 Admin

ACHANA na matokeo yaliyopatikana kati ya Yanga na JKT Tanzania unaambiwa wachezaji zaidi ya watatu ndani ya kikosi cha Yanga wamemtupia zigo kiungo Stephane Aziz

Read More
Habari

DC Timbuka: Tunapanga namna nzuri ya kuwanusuru wananchi na mafuriko

April 26, 2024 Admin

Siha. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri maeneo mengi nchini, Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro, Dk Christopher Timbuka amesema wanapanga namna nzuri

Read More
Habari

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAJA NA MKAKATI KUONGEZA UFANISI

April 26, 2024 Admin

Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akizungumza wakati wa Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Kati ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,654 3,655 3,656 … 3,713 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.