Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,656
Habari

TANROADS YAWEKA KAMBI BARABARA YA MOROGORO- IRINGA KUZIBA MASHIMO MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA

April 26, 2024 Admin

Na Aisha Malima-Morogoro Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro

Read More
Habari

Mke wa Sumaye aibuka kidedea kortini

April 26, 2024 Admin

Kilimanjaro. Esther Frederick Sumaye ambaye ni mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka kidedea katika kesi ardhi ya kugombea shamba namba 25 lililopo Madale

Read More
Michezo

Huku Fei Toto, kule Chama Kombe la Muungano

April 26, 2024 Admin

KUTOKANA na ubora wa viungo waliopo Azam FC na Simba, huenda mechi ya fainali ya Kombe la Muungano ikaamuliwa na wachezaji wa nafasi hizo, wakati

Read More
Habari

Dar, Mwanza, Kilimanjaro zaongoza saratani ya mlango wa kizazi

April 26, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mikoa ya Kilimanjaro, Dar es Salaam na Mwanza imetajwa kuongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa saratani ya mlango wa kizazi, utafiti

Read More
Michezo

Kalaba aruhusiwa kutoka hospitalini | Mwanaspoti

April 26, 2024 Admin

NAHODHA wa zamani wa Zambia, Rainford Kalaba ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari mwanzoni mwa mwezi huu. Kiungo huyo wa

Read More
Habari

Majeshi ya Kongo na Uganda yawauwa wanamgambo watano Beni – DW – 26.04.2024

April 26, 2024 Admin

Akizungumza na waandishi habari katika mji mdogo wa Mavivi/Ngite, msemaji wa jeshi la Kongo kwenye eneo la Kivu kaskazini Kapteni Anthony Mualushayi amesema kazi kubwa

Read More
Habari

Rais Samia asisitiza kutekeleza 4R katika Muungano

April 26, 2024 Admin

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutekeleza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 Watanzania hawana budi kutekekeleza kwa

Read More
Habari

Wazazi lawamani kuchukua baiskeli za wanafunzi za msaada

April 26, 2024 Admin

Geita.  Licha ya wanafunzi wa kike kuwezeshwa baiskeli kuhudhuria shule ili wasitembee umbali mrefu, imedaiwa kuwa wazazi na walezi hukwamisha jitihada hizo kwa kuzitumia kinyume

Read More
Habari

TANZANIA YAIELEZA UN HAKUNA WANANCHI WALIOHAMISHWA KWA NGUVU NGORONGORO NA LOLIONDO

April 26, 2024 Admin

Na Mwandishi wetu Kikao cha 23 Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Watu wa Asili (UNPFII) kinaendelea jijini New York nchini

Read More
Habari

Mashambulizi ya Israel yaua watu watano Rafah – DW – 26.04.2024

April 26, 2024 Admin

Zaidi ya nusu ya wakaazi wapatao milioni 2.3 wa Gaza wametafuta hifadhi huko Rafah, ambapo Israel imekuwa ikifanya mashambulizi ya anga karibu kila siku, huku

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,655 3,656 3,657 … 3,713 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.