Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,658
Habari

PPRA, ZPPDA zasaini makubaliano kuenzi miaka 60 ya Muungano

April 25, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu Wakati kesho Tanzania ikisherehekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) na Mamlaka

Read More
Burudani

TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA MSHINDI ‘SOKA LA AFRIKA LIMEITIKA’ SHINYANGA

April 25, 2024 Admin

  Kampuni ya TIGO Tanzania imekabidhi zawadi ya hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa mshindi wa shindano la ‘Soka la AFRIKA limeitika’ kupitia

Read More
Habari

Rais Samia akabidhi Muungano kwa vijana nchini

April 25, 2024 Admin

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema uimara na uendelevu wa Muungano uko mikononi mwa vijana. Kutokana na hilo, amesema: “Ninawasihi sana vijana wote

Read More
Habari

SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MPANGO VYA VYANDARUA VILIVYOTIWA DAWA ZANZIBAR

April 25, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC)

Read More
Habari

Takukuru yazuia utekelezwaji adhabu ya faini ya Sh20,000 kwa kila mwanafunzi

April 25, 2024 Admin

Musoma. Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Nchini (Takukuru) mkoani Mara, imezuia utekelezaji wa adhabu ya faini ya Sh200,000 kwa kila mwanafunzi anayabainika kuwa na

Read More
Habari

AKUKURU YAFANIKISHA MAREJESHO YA SH.MILIONI 439.2 KUTOKA KWA WANUFAIKA WA MIKOPO ASILIMIA 10 JIJI LA TANGA

April 25, 2024 Admin

Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Tanga Victor Swella akizungumza na waandshi wa habari ambao hawapo pichani wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha

Read More
Michezo

Simba Queens inajipigia tu Yanga Princess

April 25, 2024 Admin

SIMBA imeendeleza ubabe wa Ligi Kuu ya wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa kuifunga tena mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Mabao ya

Read More
Habari

Butiku ataja yanayofifisha dhamira ya Muungano

April 25, 2024 Admin

Dar es Salaam. Hatua ya Tanzania kupangiwa bei ya kuuza bidhaa zake, kutojitosheleza kwa chakula na kuwa na mapato yasiyolingana na matumizi, yametajwa kuwa mambo

Read More
Habari

ELIMU YA PSSSF KIGANJANI YAWAFIKIA WANACHAMA MAONESHO YA OSHA

April 25, 2024 Admin

NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, ARUSHA MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umewakumbusha wanachama wake kuwa, huduma zote zinazohusiana na uanachama wa

Read More
Michezo

Fei asaka rekodi za Bocco, Kipre Tcheche

April 25, 2024 Admin

BAADA ya kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuyafikia mabao 14 aliyofunga, Prince Dube msimu wa 2020/21, amebakiwa na mitihani miwili ndani ya

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,657 3,658 3,659 … 3,709 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.