Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,660
Habari

TBS yatoa wito kupima ubora na usalama wa maji ya kisima kwa matumiz ya nyumbani

April 25, 2024 Admin

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewashauri wenye visima vya maji kuhakikisha maji yanapimwa ili kukidhi ubora na kulinda usalama wa afya zao. Hayo yamebainishwa Leo

Read More
Habari

Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

April 25, 2024 Admin

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino zilizoambatana na upepo mkali, mafuriko na maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha vifo

Read More
Habari

TBL, IFC na COPRA wahimiza mfumo wa kilimo cha mkataba

April 25, 2024 Admin

*Lengo ni kuwezesha ufadhili kwa wakulima na ugavi na kusaidia kuiweka Tanzania kama kapu endelevu la chakula kwa ukanda huu *Soko linalofanya kazi vizuri linaweza

Read More
Habari

Israel yaanzisha mashambulizi yake mjini Rafah – DW – 25.04.2024

April 25, 2024 Admin

Kulingana na rekodi za hositali, miongoni mwa watu hao watano waliouwawa ni watoto wawili wadogo waliotambuliwa kama Sham Najjar, alliye na miaka sita na Jamal

Read More
Habari

Magari yakwama, madereva walala njiani Kilolo

April 25, 2024 Admin

Iringa. Wakati madereva wakilia kulala njiani baada ya magari yao kukwama, Mbunge wa Kilolo, Justine Nyamoga ameiomba Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (Tarura) kutengeneza

Read More
Habari

SERIKALI KUANZISHA MFUMO WA PAMOJA KODI YA JENGO NA ARDHI

April 25, 2024 Admin

Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa inaandaa mfumo wa kielektroniki wa kutoa ankara ya pamoja kwa huduma zinazolandana ili kuondoa usumbufu kwa wananchi

Read More
Michezo

Kutoka ukondakta hadi kucheza Yanga, JKT Tanzania

April 25, 2024 Admin

HISTORIA ya maisha ya mshambuliaji wa JKT Tanzania, Matheo Antony itakufunza kutoyakatia tamaa maisha, kwani wakati anasajiliwa Yanga msimu wa 2015/16 alikuwa anapiga mishe za

Read More
Habari

TANZANIA NA CZECH MBIONI KUONDOA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI

April 25, 2024 Admin

Naibu Katibu Mkuu wa Usimamizi wa Uchumi, Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwamdumbya na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Masuala ya Kodi Kimataifa wa Wizara ya

Read More
Habari

Zaidi ya wanafunzi 100 wamekamatwa huko California, kwenye maandamano ya kupinga vita vya Israel

April 25, 2024 Admin

Polisi nchini Marekani wamewakamata makumi ya waandamanaji katika Chuo Kikuu cha Texas huko Austin (UT Austin) na Chuo Kikuu cha Kusini mwa California (USC) huku

Read More
Habari

NBC yakabidhi vitanda Shule ya Polisi Moshi

April 25, 2024 Admin

Benki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro ikilenga kuboresha mazingira ya maladhi kwa wanafunzi

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,659 3,660 3,661 … 3,705 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.