Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,661
Habari

SHINDANO LA BINGWA MSIMU TATU KUWAFIKIA VIJANA MIKOANI

April 25, 2024 Admin

Meneja Masoko wa Kampuni ya Parimatch Levis Paul akizungumza machache mara baada ya Kuzinduliwa kwa Msimu wa tatu wa Shindano la Bingwa ambapo msimu huo

Read More
Michezo

Freddy namba zinambeba Simba | Mwanaspoti

April 25, 2024 Admin

SIMBA baada ya kuchapwa mabao 2-1 na watani wao wa jadi Yanga kwenye mechi ya ligi wikiendi iliyopita, jana ilikuwa uwanjani Zanzibar kwaajili ya michuano

Read More
Habari

Tanroads yapatiwa Bill 66 kuanza urejeshaji miundombinu ya barabara iliyoharibika

April 25, 2024 Admin

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika

Read More
Habari

Mbowe ataka mifumo Tume ya Uchaguzi irekebishwe

April 25, 2024 Admin

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kurekebisha mifumo ili kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya itamkayolinda na kutetea

Read More
Habari

LENGO LA SERIKALI NI KUBORESHA MAISHA YA KILA MWANANCHI TARAFA YA NGORONGORO-NCAA

April 25, 2024 Admin

Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa ina lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa tarafa hiyo kwa kuwaelimisha na kuwahamisha wananchi

Read More
Michezo

Dabo: No Dube, No Diao, No Problem!

April 25, 2024 Admin

AZAM imecheza mechi 11 bila ya mshambuliaji asilia, kutokana na Allasane Diao kuwa majeruhi, huku Prince Dube akiisusa timu akilazimisha kuondoka, lakini hilo halijaizuia timu

Read More
Habari

Unyanyasaji wa kijinsia katika migogoro uliongezeka kwa 50% mwaka 2023- UN

April 25, 2024 Admin

Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia katika Migogoro aliwasilisha ripoti ya kila mwaka kwa Baraza la Usalama siku ya Jumanne. Wakati

Read More
Michezo

Nidhamu yaibeba JKT mbele ya Yanga jeshini

April 25, 2024 Admin

NIDHAMU nzuri ya kujilinda kwa vijana wa Malale Hamsini, JKT Tanzania ni miongoni mwa mambo ambayo yaliifanya Yanga kuwa na wakati mgumu kuifungua ngome ya

Read More
Habari

Jengo jipya lapasuka sakafu muda mfupi baada ya kuanza kutumika,RC Mtaka ageuka mbogo

April 25, 2024 Admin

Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ameagiza wahandisi mkoani humo kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kukamilisha miradi kwa ubora unaotakiwa ili waweze pia

Read More
Habari

Mvua zasababisha vifo 155, Majaliwa atoa maelekezo 14

April 25, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mvua kubwa za El-Nino zilizoambatana na upepo mkali, mafuriko na maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha vifo vya watu 155

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,660 3,661 3,662 … 3,705 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.