Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam April 25, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Author: Admin

Home » PATA HABARI MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 25,2024 Featured • Magazeti About the author

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemvalisha nishani ya Kumbukumbu ya miaka 60 ya Muungano Kamishna Jenerali wa Jeshi la

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mama Salma Kikwete Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambayo aliipokea kwa niaba

SHINDANO la Mtindo wa Maisha (Life style) Kwa Vijana wenye ushawishi Mitandaoni ( BINGWA ) Msimu wa tatu umezundiliwa rasmi Vijana Mikoani wapewa nafasi .

Mwanza. Mkazi wa Mahina jijini hapa, Anastazia Katabazi (32) amefariki dunia kwa kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga watembea kwa miguu wengine sita. Majeruhi

*Ni katika kutoa vitambulisho Kwa idadi kubwa ya wananchi Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema kuwa katika miaka 60 Muungano

Msukumo wa ushirikiano huo ni kwamba licha ya uwezekano wa Tanzania kuwa kapu la chakula la kikanda na kuwaunganisha wakulima na viwanda vya ndani na

NA EMMANUEL MBATILO,MICHUZI TV WADAU mbalimbali wa masuala ya Jinsia na Maendeleo wamekutana katika Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) na kuichambua bajeti ya

Na Mwandishi W doetu Serikali ya Tanzania imesema kuwa inatekeleza uhamaji wa hiari wa wananchi kutoka Ngorongoro ili kulinda haki za binadamu na uhifadhi. Hayo