Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,666
Michezo

Tanzania kinara idadi ya nyati na simba Afrika

April 22, 2024 Admin

Arusha. Tanzania imefanikiwa kuwa kinara wa idadi kubwa ya wanyamapori aina ya nyati na simba barani Afrika. Kwa upande wa nyati, Afrika nzima wako 401,000

Read More
Habari

DKT. JIM YONAZI AONGOZA MKUTANO WA TANZANIA NATIONAL COORDINATING MECHANISM (TNCM)

April 22, 2024 Admin

Na. Mwandishi Wetu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ambaye ni Mwenyekiti wa TNCM ameongoza

Read More
Habari

Dk. Mpango awataka Watanzania kuuombea Muungano wakizingatia falsafa za 4R

April 22, 2024 Admin

Na Nora Damian, Mtanzania Digital-Dodoma Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amewataka Watanzania kujivunia miaka 60 ya Muungano na kuuombea uendelee kudumu huku wakizingatia falsafa

Read More
Habari

Dk Mpango, Sheikh Ponda wakemea uovu, wasisitiza amani

April 22, 2024 Admin

Dodoma. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amesema pale kwenye madai kuwa haki haitendeki, wahusika wafuate taratibu za kutoa taarifa kwenye vyombo vya ulinzi na

Read More
Habari

NMB yadhamini Mkutano Mkuu ALAT Taifa; Rais Samia kufungua kesho

April 22, 2024 Admin

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 120 kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya

Read More
Michezo

TANZANIA YAONGOZA KWA SIMBA, NYATI NA CHUI BARANI AFRIKA

April 22, 2024 Admin

Na John Mapepele Serikali imesema Tanzania inaongoza kwa kuwa na Simba, Nyati na Chui wengi katika bara la Afrika huku ikishirikilia nafasi ya tatu kwa

Read More
Habari

Ajali yaua 13 Kilwa | Mwananchi

April 22, 2024 Admin

Kilwa. Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Somanga Wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi. Akizungumzia ajali hiyo

Read More
Michezo

Manji: Tatizo la Simba ni mtu huyu

April 22, 2024 Admin

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Jumamosi iliyopita alishuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba na kusema: “Tatizo la Simba

Read More
Habari

Wanawake 347 wakutwa na maambukizi saratani ya mlango wa kizazi Kagera

April 22, 2024 Admin

Kagera. Wanawake 347 mkoani hapa wamebainika kuwa na maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi baada ya kufanyiwa uchunguzi. Jumla ya wanawake 4,689 wamefanyiwa uchunguzi

Read More
Habari

UKARABATI WA SOKO LA KARIAKOO WAFIKIA ASILIMIA 93

April 22, 2024 Admin

UJENZI wa ukarabati wa Soko la Kariakoo umefikia asilimia 93 kukamilishwa tayari kuwarejesha wafanyabiashara kwenye soko hilo ambapo hadi sasa hatua kadhaa zimeendelea kuchukuliwa ikiwemo

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,665 3,666 3,667 … 3,694 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.