*Azindua boti ya doria kukabiliana na uhalifu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara
Author: Admin

Dar/Morogoro. Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali, Mzee Nyamka kuhusu unyanyasaji wa wafungwa magerezani, imewaibua wadau wa haki za binadamu wakitaka

Kibaha. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali duniani wamekutana mjini Kibaha, mkoani Pwani kwa warsha maalumu inayolenga kuwakumbusha majukumu yao na matarajio ya Serikali kwenye

Dodoma. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, msemo huu unashabihiana na maisha ya Veneranda Kasimiri (17), mcheza soka katika timu ya Fountain Gate Princess. Mbali ya soka,

Bukoba. Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Jasson Rweikiza amejitolea kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Bukoba Vijijini kwa gharama ya Sh150 milioni. Taarifa ya

Dar es Salaam. Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner Habash utaagwa kesho jijini Dar es Salaam na kuzikwa Jumanne
TIMU ya APR imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Rwanda 2023/24 bila ya kupoteza mchezo huku kikosini kwake ikiwa na mastaa wawili walioachwa na Simba

Arusha. Zaidi ya waumini 200 wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) wamefanya ibada nje ya nyumba ya mtu baada ya kukuta kanisa lao limefungwa

KUNA vitu vinakera sana. Kuna vitu vinakwaza mno. Unajiuliza mpaka sasa katika dunia ya leo bado tunaishi katika zama za kale. Ni kama hili tukio
WAKATI Ken Gold ikishuka uwanjani leo Jumapili dhidi ya FGA Talents, Jiji la Mbeya litasimama kwa muda kushangilia historia ya mafanikio kwa timu hiyo kupanda