Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Mashindano ya Taifa Klabu ya Kuogelea yameanza leo Aprili 20,2024, huku waogeleaji kutoka klabu mbalimbali wakionekana kuchuana vikali kwenye bwawa
Author: Admin

Dar es Salaam. Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakutana jijini Dar es Salaam kwa mkutano wa siku mbili, huku mambo

Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimesema yaliyobainika katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) yanaashiria mwendelezo wa ubadhirifu wa

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka polisi mkoani humo kupambana na dawa za kulevya, akisema alinusurika kifo akipambana na dawa

Morogoro. Kamishna Jerenali wa Magereza Tanzania, Mzee Nyamka amewataka watumishi wa jeshi hilo kutimiza wajibu wao kwa kuzingatia sheria na waache kujihusisha na matendo yanayolitia

LEO saa 4:00 asubuhi katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo ilipigwa mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), JKT Queens ikiwa nyumbani na kuondoka na

Muda mfupi baada ya Yanga kuwasili katika Uwanja wa Mkapa, wamelazimika kugomea kuingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Maofisa wa Yanga waliotangulia kukagua chumba hicho walionekana

KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha amemuanzisha kipa Ayoub Lakred katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani zao, Yanga. Ayoub aliyesajiliwa na timu hiyo

BAADA ya kukosekana katika michezo minne iliyopita sawa na dakika 360, hatimaye beki wa kulia wa Yanga, Attohoula Yao amerejea uwanjani kwa kupangwa kuanza katika

SAA chache kabla ya Yanga kuanza safari ya kuja uwanjani kiungo wa timu hiyo amewasilisha maombi kwa kocha wake ampe hata dakika 20 za mchezo