Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,677
Habari

Hivi ndivyo Tanzania inavyoweza kukabili athari za mafuriko

April 18, 2024 Admin

Dar es Salaam. Uwepo wa utashi wa kisiasa, matumizi ya sayansi kupewa nafasi na kubainishwa kwa maeneo hatarishi ni miongoni mwa hatua zilizopendekezwa na wanazuoni

Read More
Michezo

NJE YA BOKSI: Mapambano haya yaliwaletea neema

April 18, 2024 Admin

NEVADA, MAREKANI: Kazi kazi. Mchezo wa ngumi ni moja ya michezo inayolipa pesa ndefu kwa mabondia kupanda ulingoni. Haijalishi bondia atapigana kwa muda gani. Wapo

Read More
Habari

MIAKA MITATU (3) YA DKT. SAMIA YANUFAISHA WAKAZI WA MANISPAA YA BUKOBA. – MWANAHARAKATI MZALENDO

April 18, 2024 Admin

Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na

Read More
Habari

Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar

April 18, 2024 Admin

Unguja. Uchumi wa nchi yoyote unategemea zaidi miundombinu bora, kurahisisha usafiri na usafirishaji. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni ya barabara nzuri, imara zenye alama kwa

Read More
Michezo

Prince Dube, Azam sasa kumekucha TFF

April 18, 2024 Admin

Picha la Azam FC na Prince Dube limeanza upya na kuanzia kesho yatafichuka mengi pande hizo mbili zitakapokutana uso kwa uso kwa mara nyingine. Mwanaspoti

Read More
Habari

WANAWAKE VIONGOZI WAHIMIZWA KUTUMIA MITANDAO KWA TIJA KUWALETEA MAENDELEO – MWANAHARAKATI MZALENDO

April 18, 2024 Admin

NA EMMANUEL MBATILO, MOROGORO   WANAWAKE viongozi na vijana wanasiasa wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa tija kwa lengo la kupeana taarifa na kuondokana na

Read More
Habari

Majaliwa aagiza mrejesho wa michango ya maafa kwa jamii

April 18, 2024 Admin

Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa  na wilaya kutekeleza wajibu wao wa kutoa mrejesho kwa jamii juu ya michango, kazi

Read More
Michezo

Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ

April 18, 2024 Admin

WAKATI Raska Zone ikianza mazoezi kujiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, mastaa wametamba kurejea uwanjani kwa nguvu mpya kutafuta kupanda Ligi Kuu

Read More
Habari

SERIKALI YABAINISHA MPANGO WA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUZALISHA BIDHAA BORA – MWANAHARAKATI MZALENDO

April 18, 2024 Admin

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biasha, Exaud Kigahe amebainisha mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Akijibu swali

Read More
Habari

CCM yachangia Sh milioni 10 kwa wanachi waliopatwa na maafa ya maporomoko ya Mlima-Itezi

April 18, 2024 Admin

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi , amewatembelea wananchi waliopatwa na maafa ya kuharibikiwa kwa nyumba na mali zao mara

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,676 3,677 3,678 3,679 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.