Dk Biteko: Hakuna matokeo bila tathmini
Mwanza. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amezitaka taasisi za umma na binafsi kuhakikisha zinafanya ufuatiliaji na tathmini ya mara kwa mara ili kujiandaa na athari zinazoweza kujitokeza, kwa kuwa tayari zitakuwa na suluhu mkononi. Amesema mtu au taasisi isiyofanya tathmini hujikuta ikishangazwa na matokeo badala ya kuyatabiri na kujiandaa mapema….