Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Author: Admin

  • Home
  • Admin
  • Page 3,684
Habari

Majaliwa aagiza mrejesho wa michango ya maafa kwa jamii

April 18, 2024 Admin

Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa  na wilaya kutekeleza wajibu wao wa kutoa mrejesho kwa jamii juu ya michango, kazi

Read More
Michezo

Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ

April 18, 2024 Admin

WAKATI Raska Zone ikianza mazoezi kujiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, mastaa wametamba kurejea uwanjani kwa nguvu mpya kutafuta kupanda Ligi Kuu

Read More
Habari

SERIKALI YABAINISHA MPANGO WA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUZALISHA BIDHAA BORA – MWANAHARAKATI MZALENDO

April 18, 2024 Admin

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biasha, Exaud Kigahe amebainisha mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Akijibu swali

Read More
Habari

CCM yachangia Sh milioni 10 kwa wanachi waliopatwa na maafa ya maporomoko ya Mlima-Itezi

April 18, 2024 Admin

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi , amewatembelea wananchi waliopatwa na maafa ya kuharibikiwa kwa nyumba na mali zao mara

Read More
Habari

Huduma ya maji yarejeshwa Hanang, wakazi 26,900 kunufaika

April 18, 2024 Admin

Hanang. Baada ya uharibifu wa miundombinu ya maji Wilaya ya Hanang mkoani Manyara uliosababishwa na maporomoko ya udongo, Shirika la WaterAid Tanzania limekarabati chanzo cha

Read More
Michezo

Tanimu: Beki Ihefu aliyekipiga na Osimhen, Iwobi na Ihenacho

April 18, 2024 Admin

Wiki chache zilizopita bendera ya Tanzania ilipepea huko Nigeria kwa mchezaji wa Ligi Kuu Bara, Benjamin Tanimu kutoka Ihefu (Singida Black Stars) kuitwa na kucheza

Read More
Habari

FCT YASIKILIZA NA KUTOLEA MAAMUZI MASHAURI 429 – MWANAHARAKATI MZALENDO

April 18, 2024 Admin

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda amewaomba wadau wote kuendeleza ushirikiano na Baraza la Ushindani ( FCT) katika kuongeza uzoefu, ufanisi katika

Read More
Habari

Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa Heshima na Chuo Kikuu cha Ankara-Uturuki

April 18, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa

Read More
Habari

Kizungumkuti ununuzi magari ya ma-RC, DC

April 18, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi),  ikipanga kutumia Sh190.57 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa magari

Read More
Kimataifa

Sunzu, Maftah watia neno Derby

April 18, 2024 Admin

MASTAA wa zamani wa Simba na Yanga, Felix Sunzu na Amir Maftah wametofautiana mitazamo kuhusu mchezo wa dabi ya Kariakoo utakaochezwa Jumamosi ya Aprili 20

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,683 3,684 3,685 3,686 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.