
DC MSANDO ARIDHISHWA UZALISHAJI MAJI RUVU JUU, ATOA MAAGIZO DAWASA.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Mheshimiwa Albert Msando amefanya ziara katika mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu kwa lengo la kuona na kujiridhisha hali ya uzalishaji wa maji katika mtambo huo ambao unahudumia sehemu kubwa ya Wilaya ya Ubungo. Katika ziara yake hiyo aliyoambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Ubungo pamoja…