ACT yafanikiwa kuhakiki majina wadhamini wa mgombea urais, ZEC yathibitisha
Unguja. Chama cha ACT Wazalendo kimefanikiwa kukamilisha uhakiki wa wadhamini wa mgombea kiti cha urais wa Zanzibar, Othman Masoud kama kilivyoelekezwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi. Licha ya fomu za mgombea huyo kupokewa jana Septemba 10, 2025 fomu za mikoa miwili ya Kaskazini Unguja na Kusini Unguja majina…