Duchu apewa mikoba ya Tshabalala Simba
BAADA ya Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ kuondoka Simba, timu aliyoitumikia kwa takribani miaka kumi, sasa kuelekea msimu wa 2025-2026, mikoba yake ipo kwa David Kameta ‘Duchu’. Tshabalala ambaye alikuwa nahodha wa Simba, msimu ujao atakuwa na kikosi cha Yanga alichojiunga nacho akiwa mchezaji huru. Mikoba aliyokabidhiwa Duchu si unahodha, bali ni jezi namba 15 aliyokuwa akiivaa…