Beki mpya Simba afunguka, alichokisema balaa
SIKU moja baada ya kutambulishwa na Simba, beki Vedastus Masinde amesema anafurahia kujiunga na timu aliyoitaja kuwa ni bora kwake na anakwenda kufanya kazi na wachezaji wengi ambao anafahamiana nao akimtaja Wilson Nangu. Masinde amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza…