LULU DIVA,PHD MSIMU WA PILI WA NICE TO MEET YOU ZOTE NDANI
MSIMU Wa pili Wa Tamthilia ya “NICE TO MEET YOU ” wazinduliwa rasmi Wasanii chipukizi wajipanga kuliteka soko la Filamu nje na ndani kutokana na ubunifu wao kwenye gemu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Lulu Abas maarufu Kama “Lulu diva” amesema Msimu wa Kwanza alifanya vizuri na Kupelekea kupata Tuzo hivyo msimu huo mpya anategemea…