
MSAJILI WA HAZINA AZIUNGANISHA KAMPUNI YA MAJI SONGWE (SOWACO) KWENDA MAMLAKA YA MAJI MBEYA (WSSA)
Mwandishi Wetu Mbeya. Katika kutimiza wajibu wake wa kisheria katika usimamizi wa uwekezaji wa umma hususani kutunza mali za Serikali, Ofisi ya Msajili wa Hazina ilibaini kwamba kuna uwalakini katika usimamizi na uendeshaji wa kampuni ya Maji Songwe (SOWACO) hivyo ilitoa mapendekezo kwa Mamlaka kuiweka kampuni hii chini ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi…