
ANC kinavyoshinda kwa jasho uchaguzi Afrika Kusini
Dar es Salaam. Ikiwa ni siku ya tatu kwa taifa la Afrika Kusini kuendelea kuhesabu matokeo ya uchaguzi, chama tawala cha African National Congress (ANC) kimeendelea kutokwa na jasho katika uchaguzi huo kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu 1994. Hili linatajwa kuwa ni anguko kubwa kwa ANC licha ya kuongoza kwa zaidi ya asilimia 40 ya…