
MKANDARASI CRJE EAST AFRICA LTD ATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA KWA WAKATI
Angela Msimbira, KIGOMA NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amemuagiza Mkandarasi M/s CRJE East Africa LTD kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara Wafipa – Kagera na Bangwe- Burega kwa wakati. Mhe. Katimba ametoa kauli hiyo Mei 31, 2024 wakati alipokagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika…