Admin

SERIKALI KUJA NA MIKAKATI YA KUPIMA UBORA WA ELIMU NCHINI

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ,akizungumza wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya Tathimini ya ujifunzaji na ufaulu wa Wanafunzi . ……………. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali inaweka mikakati ya kuendelea kupima ubora wa elimu kwa kuzingatia vigezo Kitaifa na Kimataifa. Prof. Mkenda ametoa…

Read More

Nchimbi amtaja, Sumaye urais wa Kikwete 2005

Katesh. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),  Dk Emmanuel Nchimbi amesimulia kisa cha urais mwaka 2005 alipofunga safari kutoka Bunda, Mkoa wa Mara kwenda kwa Waziri mkuu wa wakati huo, Fredrick Sumaye kumuomba amwachie Jakaya Kikwete awanie urais. Dk Nchimbi wakati huo amesema alikuwa na miaka 31 na  Mkuu wa Wilaya ya Bunda na…

Read More

Kelvin John apata timu Denmark aondoka Genk

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kelvin John (20) ameondoka Club ya KRC Genk ya Ubelgiji na kwenda kujiunga na Club ya Ålborg FC iliyopanda daraja na sasa itacheza Ligi Kuu Denmark msimu wa 2024/2025. Kelvin John inaripotiwa kuwa amesaini Mkataba wa miaka minne wa kuitumikia Aalborg FC na sasa msimu ujao…

Read More

Wazalishaji wa vyakula vya mifugo waonywa kwa ukiukwaji wa sheria

Arusha. Serikali imewataka wazalishaji na wasambazaji wa rasilimali na vyakula vya wanyama kuhakikisha vyakula na viwanda vyao vimekaguliwa na kufikia ubora na usalama unaohitajika. Kauali hiyo ya Serikali imekuja baada ya wazalishaji wa vyakula vya mifugo kubaika kutowasilisha sampuli za vyakula wavyotengeza kwa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Dosari nyingine iliyobainika ni vifungashio…

Read More