
Majaliwa atoa muda kwa halmashauri kuanzisha madawati ya sayansi
Tanga. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri zote nchini ifikapo Julai, 2025 ziwe zimekamilisha uanzishwaji wa madawati ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Pia ameagiza masuala hayo yawe sehemu ya mipango ya halmashauri na kutengewa bajeti kila mwaka ili kuhudumia vijana wanaojishughulisha na ubunifu. Kwa kufanya hivyo, amesema kutasaidia uimarisha uwezo wa nchi katika utafiti, matumizi…